mtoto wa mjin
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 589
- 566
30,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani kwani malimbikizo hamjapewa jamani mbona kwa hali hiyo kuutoboa mwez ngumuMi sijaajiriwa, nasikia migunoooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo jamaa sio wewe kweli?[emoji3] [emoji3] [emoji3] sema ukweli bwana kwann uzunguke mbuyuKuna jamaa mmoja ana mikopo hatari kwenye taasisi za fedha, yeye kwa sasa mshahara wake ni Tzs 15,000/- anazobaki nazo. Sijui atakuwa na buku ngapi mpaka leo?
Mpangilio mbaya wa bajeti, watumishi wengi mshahara ukitoka huweka shida chini na kutupa mikono juu,yaan wana banjuka tu kwenye misosi,kwenye vinywaji na kila aina ya starehe baada ya wiki tu hayo yanabaki story, binafsi nikishapata mshahara Mara baada ya kutumia wazazi fungi flani kwa ajili ya kuwa support hutuliza kichwa chini kwa kula maharage na mamboga yasiyoeleweka wiki nzima ya kwanza ili kufanya mgawanyo wangu kwa kuzingatia vipaumbele next weeks zinazofuata ndio huanza kula kwa kujitanua based on targeted budgetHv kwann kwa sisi tulio wengi mshahara huwa haukutani na wa mwezi unaofuata...yan tatizo nini wakubwa?
Vipi unafamilia au ni bachela?Mpangilio mbaya wa bajeti, watumishi wengi mshahara ukitoka huweka shida chini na kutupa mikono juu,yaan wana banjuka tu kwenye misosi,kwenye vinywaji na kila aina ya starehe baada ya wiki tu hayo yanabaki story, binafsi nikishapata mshahara Mara baada ya kutumia wazazi fungi flani kwa ajili ya kuwa support hutuliza kichwa chini kwa kula maharage na mamboga yasiyoeleweka wiki nzima ya kwanza ili kufanya mgawanyo wangu kwa kuzingatia vipaumbele next weeks zinazofuata ndio huanza kula kwa kujitanua based on targeted budget
😀Hapana mimi sio mtumishi wa serikali. Jamaa yangu niliyesoma naye university ndio aliyenipa story hii ya mwalimu mwenzie.[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo jamaa sio wewe kweli?[emoji3] [emoji3] [emoji3] sema ukweli bwana kwann uzunguke mbuyu
Coz tunaishi kwakukopa ikifika mwisho wamwezi unakimbiza pesa kwa mangi na kilabuni Sasa hapo mishahara itakutana vip kwamfano[emoji12] [emoji12]Hv kwann kwa sisi tulio wengi mshahara huwa haukutani na wa mwezi unaofuata...yan tatizo nini wakubwa?
Uzuri wake, hawezi kuumwa na kichwa wote wawili kwa mpigo.Jamaa mmoja mwalimu, anadaiwa tayari tshs. 295,000 na kapokea mshahara juzi..
Alikuwa na madeni sana, tatizo ana wake wawili, hili ndio tatizo lake.. tulimshauri asioe mke wa pili hakusikia..
Hili nalo neno! Kuna jamaa yangu anapokea cash 3M+ lakini mara nyingi inapokaribia mwisho wa mwezi huwa ameishiwa kabisa. Ila yeye amewekeza kwenye bia labda ndio sababu!Hakuna pesa inayotosha..
Nina familia ndioVipi unafamilia au ni bachela?
Duh!Kuna jamaa mmoja ana mikopo hatari kwenye taasisi za fedha, yeye kwa sasa mshahara wake ni Tzs 15,000/- anazobaki nazo. Sijui atakuwa na buku ngapi mpaka leo?
Hahaha eti chuma ulete.Chuma ulete ndio tatizo kubwa , amino ninayosema