samweli msigwa
Member
- Mar 11, 2015
- 30
- 17
Nauliza huko mpaka sasa hivi mshahara umebaki kiasi gani. Maana mlio wengi mmepokea mshahara weekend.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza ili ugundue nini mkuu?nauliza huko mapaka saivi mshahara umebaki kiasi gani .maana mlio wengi mmepokea mshahara week end
Kasie ,huwa inaitwa Njanuary
Mkuu kwani mwezi huu hakuna mshahara adi mwezi wa pili au?
Naona mwaka mpya na ada za watoto ni ule mshahara wa mwishoni mwezi huu aliitatoka mapema[emoji23]
HahahaaaaaaDalili za uchawi huwa zinaanza taraaatibu!
Comment kwa kuongeza sifuri kwenye bill ya barWale tunaotoa mshahara tukomenti wapi
Dah...sisi ambao ndiyo tumeanza kula mshahara wa Feb 2019 tunakomenti wapi? 😛Nauliza huko mpaka sasa hivi mshahara umebaki kiasi gani. Maana mlio wengi mmepokea mshahara weekend.