Mshahara umeingia lakini umeshaisha tayari

Mshahara kuisha haraka ni kawaida, hasa kama huna chanzo kingine cha mapato
 
Tuungane pamoja tuanzishe chama chetu wale mshahara unaoishia hewani ata masaa 24 hayafiki
Pia kwa wale ambao mishahara yao inakwisha hata kabla hawajaipokea. Hapa namaanisha wale wenye mikopo ya kausha damu ambao Kadi zao za Benki zimechukuliwa na hao wanaowadai. Pindi wapatapo taarifa za kuingiziwa mshahara wanakwenda kuzikomba zote bila huruma.
 
uko sahihi mkuu, yani ikipungua 50 tu, ushavuruga kila kitu.
 
Dunia ukilemaa upati kitu kabisa hupati kitu kabisaa (unamfahamu uyo msanii)???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…