Mshahara umetoka?(23/03/2018

lawyerrr

Member
Joined
Jun 20, 2017
Posts
66
Reaction score
60
Habari zenu jamani.naomba watumishi mnijuze kama tayari shimo limetema.

Nilijichanga changa nikanunua kagari ka biashara sasa kamepata hitilafu kamekomba hela zangu zote.nategemea tu mshahara nikafufua kagali kangu kaendelee kupiga mzigo namimi nilipe madeni ya watu.

Ama kweli ng'ombe wa maskini hazai
 
yap yap yap wamelamba jana jamaa,.

hivi mshahara hutoka kwa wote kwa pamoja ?
Huwa wanawatangulizia hao, halafu wengine hadi wakijisikia kuweka. Wengine labda watawekewa leo kwenye a/c zao. Au watachelewesha hadi wiki ijayo ili pasaka ikaribie watumishi wakiwa na hela
 
Eti ng'ombe wa masikini hazai,...nimecheka sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji117]When a Guy Does something wrong

Girl : you broke my favorite phone!
Guy: it was an accident.. I didn't mean to!
Girl: I can't believe you did this!?
Guy: I am very sorry. [emoji22]

[emoji117]When a Girl does something wrong

Guy: You lost my Silver chain?
Girl: it was an accident.. I didn't mean to.
Guy :i can't believe you did this?
Girl: I have already feel bad about it..... Stop making me feel worse

Guy: I am Sorry [emoji28][emoji28].

The world is not fair [emoji23][emoji23][emoji23] Damu yangu.
 
Go to hell....[emoji125] [emoji125]
 
ng'ombe yupi hazai.. ishi kwa malengo usilalamike ovyyo ovyo
watumishi wa umma mnasikitishaga kweli
watu wanakosa salary miezi 6 na wako still focused, wewe siku tu umeanza kulalama
Hakuna nilipolalamikia mshahara.nimekalamikia hako kamladi kangu mbali na mshahara.Hutanielewa mpaka pale babaako atakapoacha kupanga bajeti ya chakula kwaajili yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…