lawyerrr
Member
- Jun 20, 2017
- 66
- 60
Habari zenu jamani.naomba watumishi mnijuze kama tayari shimo limetema.
Nilijichanga changa nikanunua kagari ka biashara sasa kamepata hitilafu kamekomba hela zangu zote.nategemea tu mshahara nikafufua kagali kangu kaendelee kupiga mzigo namimi nilipe madeni ya watu.
Ama kweli ng'ombe wa maskini hazai