Mshahara umetoka?(23/03/2018

Hakuna nilipolalamikia mshahara.nimekalamikia hako kamladi kangu mbali na mshahara.Hutanielewa mpaka pale babaako atakapoacha kupanga bajeti ya chakula kwaajili yako.
haha baaba yang kaingiaje hapa huwezi kutoa hoja bila kumkashfu mtu na wazazi wake? tokea unazaliwa baba yako hajawahi kukupangia bajet ya chakula? anyway umejionyesha jinsi ulivyo. asante sana BOSS TAJIRI.
 
Maisha ya kusubiri mshahara uingie mwisho wa mwezi ni mtihani aisee. Yaani mtu anaishiwa na kubakiwa na hela ya nauli tu - hakuna cha savings wala source nyingine ya income😱.
 
haha baaba yang kaingiaje hapa huwezi kutoa hoja bila kumkashfu mtu na wazazi wake? tokea unazaliwa baba yako hajawahi kukupangia bajet ya chakula? anyway umejionyesha jinsi ulivyo. asante sana BOSS TAJIRI.
Tajiri niwewe unaetukashifu watumishi.babaako sijamkashfu ila nimemsifia kwa malezi bora.soma vizuri
 
Ka gari kako aina gani mkuu ? Na umekaweka kapige mzigo sehemu gan ? Ebu njoo pm tubadilishane uzoefu maana ndio mradi nataka kuanzisha huo
 
Ndio, umetoka benki kwenda kusikojulikanna
 
JamiiForums mnaonaje huu uzi ukahamia jukwaa la habari mchanganyiko au jukwaa la kazi maana huku watu hujadiliana mambo ya biashara, uchumi na ujasiliamali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…