BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
haha baaba yang kaingiaje hapa huwezi kutoa hoja bila kumkashfu mtu na wazazi wake? tokea unazaliwa baba yako hajawahi kukupangia bajet ya chakula? anyway umejionyesha jinsi ulivyo. asante sana BOSS TAJIRI.Hakuna nilipolalamikia mshahara.nimekalamikia hako kamladi kangu mbali na mshahara.Hutanielewa mpaka pale babaako atakapoacha kupanga bajeti ya chakula kwaajili yako.