Mshahara unaongeza 8,000 halafu makato 9,000, una akili sana

Mshahara unaongeza 8,000 halafu makato 9,000, una akili sana

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
145B7A09-0924-4708-9BDC-F3B734A9E7DE.jpeg
 
Ishu sensitive kama hizi huwa zinakemewa vilali huku jf tu.
Huko kwingine inakua ni ishu yaki moja tu, kesho video chafu ikivuja basi mjadala woote unahamia huko.

Huenda hawa watu kama kina mange wapo huko kimkakati zaidi ili kuwahamisha akili watz wengi wa huko mjini insta.
 
Uoneshe hasira ukiwa sebuleni unachart. Ingia Barabarani kama wewe unahasiri kweli Kweli
😂😂😂😂😂😂 hapo ndio ukitaka kujua unafiki wa mtanzania, anahamasisha hasira wakati kakaa sebleni kwake anatype
 
Back
Top Bottom