Mshahara wa advanc bank kwa nafasi ya loan officer huwa ni bei gani?


hahahahaaaa.....
 
Hahahaaa..sikuumaanisha hivyo mkuu,naanza kukubaliana na ww kwenye suala la kuchagua package wakati hata hiyo alternative huna...
Ngoja nimpe mfano huyu kijana...wakati namaliza university,kuna jamaa yetu alitoka na 1st class,tukapata wote kazi kwenye moja ya auditing firm kubwa duniani(among big four)...jamaa alitegemea kwamba atalipwa mshahara tofaouti na watu waliopata second class na madaraja mengineyo...jamaa kazi ilimshinda,nasikia alirudi kufundisha pale UDBS...
Sidhani kama huyu bwana mdogo anazo alternative nyingi kihivyo.....!!!
MMMhhhh...hizi degree hizi!!
 
We dogo. Umeambiwa ukiwa na digrii maana yake usifanye kazi? Careerwise growing inaanzia chini. Siku hizi digrii ni kufuta ujinga. Sio kuwa na elimu. Yaani unaona kuwa na digrii ni ukuuuuuuubwa. kama unadhani hivyo angalia wasio na digrii na hawana kazi hapa mjini ndio utaona upofu wa maneno uliyosema.
 

Now you are TALKING!

Ukisema UNIVERSITY DEGREE you simply means ALTERNATIVES. Sasa madogo wanakuwa possessed na vyeti to such ana extent wanataka wawe APPRECIATED kwa vyeti kabla hawajaprove their worth.

Ukiona umeshindwa kubadili tabia yako fulani ktk maisha, jiulize swali hili moja litaku- motivate kubadilika; "Dunia ingekuwa vipi ikiwa kila mtu angekuwa kama mimi?"

Sasa dogo amefikia kuwakashifu mauza mabeseni lkn inavyoonesha yeye hawezi kufikiri nje ya box, sasa hiyo degree inakuwa na maana gani? Kwanza nionavyo mimi nadhani yeye anadhani kuna BBA tu hapa duniani, hajui kuna watu degree zao ni za kushika usaha na damu.

Mtu wa mawazo yale potofu, kwa kukosa muelekeo (wa ndani) na imani kubwa aliyonayo kwa vyeti, atarudi chuoni, atasoma weeeeee baadaye anakuwa Profesa. Sasa unategemea profesa wa namna hiyo anamfundisha nini mwanafunzi wake?
 
Yaani mi nilipoona mada yenyewe nilijua lazima Mwana mtoka pabaya atakuwa ndani na kutoa elimu/ kuwashusha konfo graduates.

""hiv mshaara wa masters bei gani?"" hii ndo ilinifanya nikawa nafurahia posti zako mkuu.

mkuu kama hutajali hiv ww profesheno yako ni nini?
 

Huu ni mwaka wa 6 mkuu najitahidi kung'amua 'what is my profession in vain'. Ipo siku nitajua, nitakujibu mkuu.

As for occupation, BUSINESS.
 
Aaaah, michango hii!! fresh graduates someni hayo, yatawasaidia. Usiponde kampuni ya mtu/watu, wamepata tabu sana kuanzisha! so wasifikiri kumwajiri mtu ni simple tu! NA kumaliza Degree, tena bachelor, sio tiketi ya kupata kazi inayokidhi ndoto yako, hata ukianzisha mradi profit huanza kidogo kidogo, kadri inavyo kua ndivyo inavyo ongezeka na ww ndo unaneemeka! PLS nawashauri fresh graduates, wakipata kazi inaendana na career goals zao wafanye, faida yake ni kupata experience ambayo baada ya mwaka au miaka 2,3 utaweza omba kazi kama hiyo kwingine na lazima utapata mshahara mkubwa zaidi ya huo wa leo. Ni bahati sana kuanza tu na kupata salary nono, ila on exceptional cases!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…