Mshahara wa Agosti ungeingia leo ili kesho tutulie tuwasubiri Makarani

Mshahara wa Agosti ungeingia leo ili kesho tutulie tuwasubiri Makarani

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Kama kichwa kinavyojieleza.

Mzigo ungeingia leo, ili kesho tukae na familia zetu tunawangoja makarani waje watuhesabie.

Sasa hadi sahivi bila bila, tunaodaiwa madeni kesho tutaweza kweli kukaa majumbani?

Karibuni wazee wa kusema walimu mna njaa kweli kweli.
 
Wangetoa Leo mngelewa Sana mngewaletea fujo na dharau maafisa wa sensa...au labda ujaribu kubadili kazi au ofisi..
Nenda zile ambazo kila mwezi huko night zaidi ya 20.hapo itakuwa Safi mshahara kweli sio wa kuutegemea
 
dah,afadhali make nilikuwa na ka transactions nakafanya wakati naenda mawazo yote nawaza hali ntayoikuta Mungu saidia nimekuta kumepoa
 
Back
Top Bottom