broo sijui wenye mamlaka ila kama huamini njoo inbox nitakiwekea salary sleepKwa nini ukadktari degree alipwe 1.5M na degree zingine iwe pesa ndpgo
Kwa nini ukadktari degree alipwe 1.5M na degree zingine iwe pesa ndpgo
Yes, ndio maana nimemwambia kuna posho ya utaalamu 15% ya mshahara wakoSababu jeshin unalipwa kutokana na taaluma yako mbali na posho nyengine na mshahra wa daktari ni 1.5 mil hata serikalini
Ko hata ukiwa jeshi ni Ivoivo tuu
Yes,ndio maana nimemwambia kuna posho ya utaalamu 15% ya mshahara wako
Oya form four plain 409000Okay ngoja nichangie kidogo na nitatoa mfano kwa polisi
Mshahara huwa unalipwa kulingana na degree uliyonayo mfano
Askari mwenye degree ya udactali analipwa 1.5m basic salary apo sijaweka posho laki 3 kila mwezi na laki 1 kila mwezi na bado posho ya ujuzi maalumu 15% ya mshahara wake
Askari mwenye degree ya IT analipwa laki 990000 basic salary kuna posho laki 300000 per month pia laki 1 kila mwezi na 15% ya mshahara pesa ya ujuzi maalumu
Askari mwenye degree labda ya law sijui uchafu gani ni laki 860000 na izo posho zingine nilizo ziweka juu
Form six laki 520000 na posho zingine nilizo zitaja kasolo pesa ya ujuzi
NB mimi sio askari ila najua ivyoo
Oya form four plain 409000
Then brother degree ni degree
Certificate ni certificate
Diploma ni diploma hazibaguliwi
Kama ni hivyo pia kuna form four za science ,arts na biashara nazo hapo tutaziweka vip
Hoja yangu ni kwamba hizo degree haziangaliwi ni degree ya Nini !!ila mshahara wa degree ni mmoja tu,kwa woteSasa hoja yako ni ipi...![emoji2363][emoji2363]
SIO KWELI.. acha kudanganya watu kijanaHoja yangu ni kwamba hizo degree haziangaliwi ni degree ya Nini !!ila mshahara wa degree ni mmoja tu,kwa wote
Hoja yangu ni kwamba hizo degree haziangaliwi ni degree ya Nini !!ila mshahara wa degree ni mmoja tu,kwa wote
Najua unafurah tu!!ila kimsingi Kama una ushahidi wa ubaguzi wa mishahara kwa kutegemeana na degree ya ya Nini sawa nitakubali ila kwa maneno tu hapana kuna watu wapo kweny vyombo wanatueleza utaratibu jinsi ulivyo.Hahahahahahahahah daaah jamaa ujue humu watu tupo na akili zetu timamu.????????????[emoji41][emoji41]
Hebu ukae kwa kutulia tuu kama mambo hauyafahamu boss..... KUA MPOLE HUNA UNALOJUA[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Najua unafurah tu!!ila kimsingi Kama una ushahidi wa ubaguzi wa mishahara kwa kutegemeana na degree ya ya Nini sawa nitakubali ila kwa maneno tu hapana kuna watu wapo kweny vyombo wanatueleza utaratibu jinsi ulivyo.
magereza sijui waliikosea nini hii dunia. hadi wakistaafu, utawaonea huruma. ndio maana wanakuwa na roho mbaya kule gerezani. waongezewe kidogo jamani, wanatia huruma. na magwanda yao yale dah
kima cha mshahara, ndio viumbe wanaopata mshahara mdogo kuliko wote kwenye hayo majeshi. mimi sishabikii rushwa, rushwa ni dhambi. lakini angalia wenzao uhamiaji, mishahara ya kawaida ila wanajua wenyewe wanavyoishi na wahamiaji haramu na wahindi. angalia polisi, ukikamatwa bure ila kutoka hutoki bure, angalia jeshi hao wana heshima zao hadi kimishahara kwasababu ukiwazingua wanakinukisha. magereza sana, hawana popote pa kula, wanaofaidi ni wakubwa zao tu na admission officer kupatapata vihela vidogo ili ampendeleee mfungwa au mahabusu. wakubwa zao ndio wanakula sana hela hasa kipindi cha msamaha, ili upate msamaha, au kifungu cha nje wanakata hela ndefu na anayekula n mkuu wa gereza na gereza wa mkoa tu. maafisa wengine wooote hawana pa kula hadi wanakuwa choka mbaya kama wahangaikaji barabarani tu. wanategemea mishahara tu.Waongezewe nini...
kima cha mshahara, ndio viumbe wanaopata mshahara mdogo kuliko wote kwenye hayo majeshi. mimi sishabikii rushwa, rushwa ni dhambi. lakini angalia wenzao uhamiaji, mishahara ya kawaida ila wanajua wenyewe wanavyoishi na wahamiaji haramu na wahindi. angalia polisi, ukikamatwa bure ila kutoka hutoki bure, angalia jeshi hao wana heshima zao hadi kimishahara kwasababu ukiwazingua wanakinukisha. magereza sana, hawana popote pa kula, wanaofaidi ni wakubwa zao tu na admission officer kupatapata vihela vidogo ili ampendeleee mfungwa au mahabusu. wakubwa zao ndio wanakula sana hela hasa kipindi cha msamaha, ili upate msamaha, au kifungu cha nje wanakata hela ndefu na anayekula n mkuu wa gereza na gereza wa mkoa tu. maafisa wengine wooote hawana pa kula hadi wanakuwa choka mbaya kama wahangaikaji barabarani tu. wanategemea mishahara tu.
ukitaka kuwajua, uliza mtu aliyewahi kufanya biashara ya kukopesa, ukiondoa waalimu, watu wengine wanaokula mshahara wooote hata kabal haujafika mkononi ni askari magereza. wanaishi kwa kukopa mno.
wewe ni magereza mzee?Huna unaloelewa wewe KAA UTULIE ACHA MIHEMKO[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Huo sio ubaguzi ni utaratibu tu wa kawaida, mtu wa degree ya Socialogy ilipwe sawa na MEDICINE? hata serkalini tofauti ipo mzee na hata kuzipata kwake hustle zinatofautiana, huyu miaka 3 yule miaka 5 plus mmoja wa Internship..Najua unafurah tu!!ila kimsingi Kama una ushahidi wa ubaguzi wa mishahara kwa kutegemeana na degree ya ya Nini sawa nitakubali ila kwa maneno tu hapana kuna watu wapo kweny vyombo wanatueleza utaratibu jinsi ulivyo.
Huo sio ubaguzi ni utaratibu tu wa kawaida, mtu wa degree ya Socialogy ilipwe sawa na MEDICINE? hata serkalini tofauti ipo mzee na hata kuzipata kwake hustle zinatofautiana, huyu miaka 3 yule miaka 5 plus mmoja wa Internship..
kuna tofauti kwanzia uraiani mpaka kwenye hivi vyombo hilo liko wazi kabisa
πππππππJamaa yangu ww daaaaah sawa bhn,,,Achana nae huyu hana analojua kk....