Sio kweliMkuu ninavyoelewa mimi vyombo vyote vilivyo chini ya wizara ya mambo ya ndani (MT,UT,ZT,PT)mishahara yao inafanana na unalipwa kulingana na taaluma yako....
Mfano kuna mdau alisema humu ana mdogo wake yuko magereza ni form4 plain kabisaa anapokea kama 520000 hivi hapo bado posho 300k kwa kila mwezi na 100k ya vinywaji kila mwezi