Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Hujui afu unaropoka Afya diploma basic 740k take home 613Sijui wanalipwa kiasi gani ila mwalimu Bachelor halipwi Sawa na medical officer au eng
Hujui afu unaropoka Afya diploma basic 740k take home 613Sijui wanalipwa kiasi gani ila mwalimu Bachelor halipwi Sawa na medical officer au eng
Afya diploma basic 740k take home 613k Nina ushaidi wa kutosha kabisaDiploma Afya Hawana Mikopo Mzee Ya Heslb Ndio Imeanza Mwaka Huu! So Take Home Lazima Akulambe 628k
Hoja yangu nillikita kwenye mshahara unatofautiana kati ya Degree na Degree btw 740k diploma alaf degree 820k utofauti ni chupi 8 za wifi yako ndugu mwalimuHujui afu unaropoka Afya diploma basic 740k take home 613
I am not a teacher, but jitahidi umnunulie mkeo nguo ya ndani Kali,,sio chupi za buku jeroHoja yangu nillikita kwenye mshahara unatofautiana kati ya Degree na Degree btw 740k diploma alaf degree 820k utofauti ni chupi 8 za wifi yako ndugu mwalimu
820k-740k= 80k/8= 10k eachI am not a teacher, but jitahidi umnunulie mkeo nguo ya ndani Kali,,sio chupi za buku jero
Inawezekana nipo nje ya mada lakini hiyo 820k mnaitoa wapi au ndio 822k ?Diploma hii ya afya ya 740k ndo ilingane degree ya sayansi ya 820k au sijui hesabu
Inawezekana nipo nje ya mada lakini hiyo 820k mnaitoa wapi au ndio 822k ?View attachment 2860235
Mtumishi wa Halmashauri zote nchini mwenye shahada moja akiwa anaanza kazi ambaye ni mwalimu.Hio D1 ni mshahara wa nani Mto wa mbu
Soma hii Mto wa mbuMtumishi wa Halmashauri zote nchini mwenye shahada moja akiwa anaanza kazi ambaye ni mwalimu.
Hapana hiyo ni ya waalimu tu, kuna tofauti kati ya TGTS na TGS.Mtumishi wa Halmashauri zote nchini mwenye shahada moja akiwa anaanza kazi ambaye ni mwalimu.
Shahada ya sanaa na michepuo ya Biashara na Uchumi.Soma hii Mto wa mbu
Hukumaliza kusoma sentesi yote mkuu. Ambaye ni mwalimu wa masomo ya sanaa, uchumi na biashara.Hapana hiyo ni ya waalimu tu, kuna tofauti kati ya TGTS na TGS.
Okay ya sayansi ndo wanaanza na 820kShahada ya sanaa na michepuo ya Biashara na Uchumi.
Siyo kweliMkuu ninavyoelewa mimi vyombo vyote vilivyo chini ya wizara ya mambo ya ndani (MT,UT,ZT,PT)mishahara yao inafanana na unalipwa kulingana na taaluma yako....
Mfano kuna mdau alisema humu ana mdogo wake yuko magereza ni form4 plain kabisaa anapokea kama 520,000 hivi hapo bado posho 300k kwa kila mwezi na 100k ya vinywaji kila mwezi.
Kuna kiboksi cha juu ya 822k. Sema walimu wanalipwa vizuri ukilinganisha na wenzao wa halmashauri wa idara tofauti na afya, uhandisi, na wale wenye certifications za bodi mbalimbali.Okay ya sayansi ndo wanaanza na 820k
Hata ivo mishahara ya kitanzania ni kichefuchefu
Siyo kweli MOH range yao ni moja au siyo kweli nini?Siyo kweli
Sema ume edit, anyway kama sikusoma sorryHukumaliza kusoma sentesi yote mkuu. Ambaye ni mwalimu wa masomo ya sanaa, uchumi na biashara.
Hivi walimu wa sayansi hawaanzi na TGTS D3 ?? au mimi ndio sifahamuKuna kiboksi cha juu ya 822k. Sema walimu wanalipwa vizuri ukilinganisha na wenzao wa halmashauri wa idara tofauti na afya, uhandisi, na wale wenye certifications za bodi mbalimbali.
Sure. Nime edit.Sema ume edit, anyway kama sikusoma sorry
Uko sahihi.Hivi walimu wa sayansi hawaanzi na TGTS D3 ?? au mimi ndio sifahamu