🤣🤣🤣🤣 Mkuu serikali ni majitoleo tu. Na tunaposema serikali most of time tuna-refer Central or local government.
Kwa ngazi ya degree mshaahara ni aidha uanze na TGS D ambayo ni equivalent to 765,0000/= au TGS E ambayo ni sawa na 1,000,000/=. Sasa angalia kama waneanisha salary scale kwenye hilo tangazo la ajira.
Otherwise upate mashirika ya umma, agencies, commissions etc huko kuna salary scale nyingine ambazo ni kubwa na hata nono kutegemeana na entity.