Mshahara wa data scientist

Mshahara wa data scientist

Melxcom991

Senior Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
101
Reaction score
115
Wakubwa nilikua naomba kufahamu mshahara anaopatiwa data scientist kwa upande wa goverment na private sector?
 
Wakubwa nilikua naomba kufahamu mshahara anaopatiwa data scientist kwa upande wa goverment na private sector?
🤣🤣🤣🤣 Mkuu serikali ni majitoleo tu. Na tunaposema serikali most of time tuna-refer Central or local government.

Kwa ngazi ya degree mshaahara ni aidha uanze na TGS D ambayo ni equivalent to 765,0000/= au TGS E ambayo ni sawa na 1,000,000/=. Sasa angalia kama waneanisha salary scale kwenye hilo tangazo la ajira.

Otherwise upate mashirika ya umma, agencies, commissions etc huko kuna salary scale nyingine ambazo ni kubwa na hata nono kutegemeana na entity.
 
Nchi zilizoendelea,watu walisoma kulitumikia na kuliinua taifa. Leo hii,mtu anawaza mshahara. Nchi inakudai wewe,hauidai chochote.
 
Back
Top Bottom