Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kua mhasibu wa kampuni moja yenye malori ya Mafuta.Habari zenu wana jamvi,
Kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikitamani kujiunga na tasnia ya udereva particularly udereva wa malori (truck driver), nilikua naomba kujulishwa mshahara wa dereva wa lori apa Tanzania.
Asanteni
Kwastail hii madereva mshahara haujawahi kututosha kamweNikiangaliaga zile foleni za malori pindi nnapoenda mkoa na gari ndogo na ule mwendo wao wanaotembea au zile foleni utakuta wamepangana kwenye halafu utakuta mtu anaenda nje ya nchi bado kila traffic hajakusimamisha kukupotezea muda zaidi aisee, najiulizaga huwa nachoka kabisa. Kufika sehemu inachukua masiku kibao barabarani.
Kuhusu kuchapiwa hata wao wenyewe wana makoloni yao kila kijiji wanapoweka kambi, wengine wanatembea kwenye magari yao kwa nyuma ya seat kunakuwa na sehemu ya kulala wanatembea na majiko kabisa popote wanaweka kambi wanapika na kula kisha wanalala, ila maisha bwana unaposema ya nini wenzako wanajiuliza wataipata lini.
Dah hapo napak gari pembeni kabisa maana huyu si wa kumuacha hata kidogo...unatembea na kinga zako tuKwastail hii madereva mshahara haujawahi kututosha kamweView attachment 1440395
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwastail hii madereva mshahara haujawahi kututosha kamweView attachment 1440395
Sent using Jamii Forums mobile app
Uta chapiwa mke
ni vile vile tu kwa sababu hata mpishi anamla mlaji hivyo wanakulana baada ya kulaMi nakwambia kuna kitanda kabisa huko nyuma ya seat na wanatembea na jiko popote gari ikizingua demu anarekebisha jamaa akimaliza kula msosi anakula na mpishi. Hatarious.