"Mshahara wa dhambi Ni Kifo" hii kauli inanitisha sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Katika maneno ambayo huwa naogopa hata kuyawaza Ni hii kusema mshahara wa dhambi Ni kifo.hivi walifikiria Nini wahenga wetu mpaka wakatunga haya maandishi ambayo Mimi sometimes yananifanya ninyong'olee ghafla na kuwa mnyonge moyoni..na msemo mwingine wa kuogofya Ni huu "tamaa mbele mauti nyuma"dah Kwa hiyo mnatupinga sisi kutamani sa tutaishiji?
 
Hiyo misemo inawahusu sana ccm waporaji wa haki za raia maana wao madaraka kwanza hata kwa kuua mengine yanabaki nyuma yake, mjitafakara sana na hayo matendo yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…