ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Katika maneno ambayo huwa naogopa hata kuyawaza Ni hii kusema mshahara wa dhambi Ni kifo.hivi walifikiria Nini wahenga wetu mpaka wakatunga haya maandishi ambayo Mimi sometimes yananifanya ninyong'olee ghafla na kuwa mnyonge moyoni..na msemo mwingine wa kuogofya Ni huu "tamaa mbele mauti nyuma"dah Kwa hiyo mnatupinga sisi kutamani sa tutaishiji?