Mzee ukifika huko utajua! Usiangaike na mishahara serikalini ukiingia ukaangalia mishahara unaweza ukataka kuacha kazi, ila ukiingia huko ndo utajua mengi mkuu! Let say mshahara wako ni 900,000/= ukiingia huko utakuta
1: house allowance= 150k-250k
2: usafiri 100k,
3: chai 80k
4: extra : 200k
Ukijumlisha na mshahara mzee una hela ya kutosha!
Nchi hii sehemu ngumu ni halmashauri na ualimu huko sidhani kama wana extra duty!