Mshahara wa IT hapa bongo

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Aisee wadau kuna mtu kaniuliza mshahara wa IT hapa Bongo umekaaje na soko likoje kwa mtu aliesoma IT, COMPUTER SCIENCE au COMPUTER ENGINEERING na kozi relevant na hizo.
 
IT ni pana sana, inategemea unafanya kazi gani na unaifanyia wapi
kuna ma-IT wanalipwa 150,000 kuna wengine wanalipwa zaidi ya 15,000,000....kupanga ni kuchagua !
 
Aisee wadau kuna mtu kaniuliza mshahara wa IT hapa Bongo umekaaje na soko likoje kwa mtu aliesoma IT, COMPUTER SCIENCE au COMPUTER ENGINEERING na kozi relevant na hizo.
Mshahara huwa unategemea wapi unafanya kazi

Unaweza ukaajiriwa ukalipwa 500k na kuna mtu mwingine amesoma program hiyo hiyo akalipwa 2M + marupurupu kibao

" WE ARE EQUAL BUT NOT SIMILAR"
 
Aisee wadau kuna mtu kaniuliza mshahara wa IT hapa Bongo umekaaje na soko likoje kwa mtu aliesoma IT, COMPUTER SCIENCE au COMPUTER ENGINEERING na kozi relevant na hizo.
IT mshahara unajilipa wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…