Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hakuna sababu ya msingi ya kulipa mshahara kila mwezi. Tulipane kila mwisho wa wiki au baada ya kila wiki mbili. Watu wanakonda sababu wanakula nyama na maziwa wiki ya mwisho wa mwezi tu, baada ya hapo maharage. Biashara zinakufa sababu zinauza wiki ya mwisho wa mwezi tu. Baada ya hapo ni kupiga miayo tu. Tukilipana kila wiki pesa inakuwepo kwenye mzunguko daily.
 
Au ingekua option, ulipwe weekly au monthly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…