Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?


Nashukuru kwa maoni/mtizamo/mawazo mazuri,,, kwa haraka haraka huo mnyumbuliko hapo umeupigia mahesabu ya juu sana ,,, !! Anyway watz wengi bado tunabangaiza,,, wanaoishi maisha standard hawafiki 10,% ya population yote
 
Kwamba unadhani kuna mtumishi hajui hili ndio umemsaidia kijua leo
 
Kwa hiyo mishahara nayo imekuwa kama mvua zetu hautabiriki utatoka lini Serikali iwawekee tarehe moja kama ni 28 iwe hiyohiyo uhakika siyo mara 19, 23,26 nk haijalishi kuna sikukuuu gani
 
Subira muhimu, Wacha jua lipige mpka mifukoni😂

Ilifaa ijumaa jioni salary iwe ushatoka.
 
Mimi ni wakala naona NMB wamenikumbusha niweke float kwamba ni siku za mshahara kuelekea Jumapili 23 na siku kuu l.
Wao si ndo wanayo watakuwa wanajua ukweli kwamba iko karibu
 
Mimi ni wakala naona NMB wamenikumbusha niweke float kwamba ni siku za mshahara kuelekea Jumapili 23 na siku kuu l.
Wao si ndo wanayo watakuwa wanajua ukweli kwamba iko karibu
Wanajua jumatatu sio mbali
 
Wakala, Jumapili ya tarehe 23 na 30 zina uhitaji wa kutoa pesa kwa sababu ya mishahara na maandalizi ya sikukuu. Ongeza kamisheni kwa kutoa huduma siku hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…