Uzi haukuhusu, nenda kagombane na Chalamila, ameamuru vibanda vya biashara vibomoleweNaona atm za NMB zimeanza kuchangamka maisha ya watumishi ni changamoto sana poleni sana Mungu aendelee kuwatunza
CRDB badoNMB kwangu tayari
BadoMad Max kaka vip sisi wa Crdb ndo tumekuwa watoto wa yatima?
BadoCRDB vipi tayar huko wadau????
Likizo pia inalipwa na hazinaMwezi huu nilikuwa na madeni kibao,,nashukuru Mungu na likizo nimepewa 1.2 M
DuhBado
Ndio hapo sasa sijui mtumishi wa wapi huyu au kwa mchinaLikizo pia inalipwa na hazina
Uzi umevamiwaNdio hapo sasa sijui mtumishi wa wapi huyu au kwa mchina
Umeishi muda mrefu sanaIla huu uzi kwa huu mwezi umechangamka sana.
Crdb sijaonaKachukueni hela tayari toka saa moja,
NMBCrdb sijaona
Hii tunafahamu ,tunaongelea CRDBKachukueni hela tayari toka saa moja,