Nenda kasome barua ya King leopard kwanza halafu ndio urudi hapa tuendelee na mjadala haya mambo mzizi wake ni mrefu.what we really need is spiritual freedom! uwe na uhakika ukitwaliwa leo au kesho kutoka katika maisha haya unaenda wapi.
Jumatatu hatutaweza kufika tukiwa haiWaweke pesa jumatatu ili watumishi wa uma mjifunze nidhamu ya pesa.
Mchawi mtajiNidhamu ya pesa ni pamoja na kuwa na vyanzo mbadala vya mapato.
Wasipoweka pesa kesho, napiga cm kwa CID, this is an attempted murder, na nna evidence!Leo usiku had kesho asubuhi
Tunajua tunachokifanya. Hatutaki kusumbuana na mgambo wanaovunja vibandaNchi yetu ina shida sana utakuta mtu yupo kwenye ajira zaidi ya miaka 10 ila bado anachungulia huu uzi wa mshahara ni msiba kwa kweli.
Umeona wapiNimeona washakata vyao, Muda wowote na sisi tunapata chetu.
Motivation speaker muachie Robert Kiyosaki,wembongo Mwenzetu maisha yetu tunajuana.Mbwembwe nyingi hazifai.Hapana mkuu tunakumbushana tu mkuu huu utaratibu wa mtu anaajiriwa baada ya mda mchache anakopa hela ananunua gari anaenda nalo ofisini ana li park jioni anarudi nyumbani halafu weekend analipeleka garage halafu mwisho wa mwezi anakuja kwenye huu uzi we need financial freedom.
Kwahiyo next of kin atavuta huu mpunga wa may au sio 😂Jumatatu hatutaweza kufika tukiwa hai
Hawashangai na still tuna survive hadi leoTunajua tunachokifanya. Hatutaki kusumbuana na mgambo wanaovunja vibanda
Kuna mtu atatajirika soon. Na kuna Wafanyakazi wanapata perdiem kupeleka mwili Karatu.Kwahiyo next of kin atavuta huu mpunga wa may au sio 😂
Wanasema tuanze biashara.Motivation speakers tunaomba msome comments tu na mkazitumie kama reference kwenye kazi zenu...
Msitushauri tafadhali.
Wanafikiri biashara ni rahisi kiasi hicho...Wanasema tuanze biashara.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Moshi Mweusi umeonekana NMB ngoma bado ngumu, Mchakato bado unaendelea, tusubili kesho.
Kwahiyo kesho iyo sasa
Sawa acha inyeshe tuone panapovuja sisi yetu macho.Motivation speaker muachie Robert Kiyosaki,wembongo Mwenzetu maisha yetu tunajuana.Mbwembwe nyingi hazifai.