Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hakuna umasikini na laana mbaya kwenye maisha kama kuishi kwa kutegemea mshahara tu. Ni utumwa wa kisasa ambao ukichelewa kuustukia unakuwa katika hali mbaya sana baadae.
Fikiria huyu jamaa anayelia hana hata mia na madeni kila mtaa akiambiwa na boss wake anafukuzwa kazi, atajinyonga huyu.
 
Mpwayungu Village uko wapi siku hizi wenzako wanalia huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…