SELECTSlow down..'A week Ahead'
Hahahahahahaha naona mambo yamekuwa magumuAcha mtanikuta nyie wa 23 June.
Wiki sio mbali
Uzi uchangamke kidogoHahahahahahaha naona mambo yamekuwa magumu
Muda wa uzi kupumzika wadau 🤣🤣🤣Uzi uchangamke kidogo
Utakuwa uliomba mkopo na kabla ya kukuamilisha process umeomba tena kwa mara nyingineWadau naombeni msaada kuhusu hili,,Nilikuwa na shida kama milioni 2 hivi sasa nikaingia kwenye mfumo wa ESS ili nikope.Process yote inaenda vizuri lakini ikifikia kwenye kuconfirm inagoma inanijibu kwamba"You have a pending loan please wait until its complete or make a decision on incomplete loan"vipi wadau hii imeakaaje ukizingatia mm sina mkopo au kuna ambaye keshakutana na hii inshu?
Aisee sasa hapo nafanyaje?maana nina shida na helaUtakuwa uliomba mkopo na kabla ya kukuamilisha process umeomba tena kwa mara nyingine
Cancel mojawapo kati ya hizo process ibaki moja ndio uikamilisheAisee sasa hapo nafanyaje?maana nina shida na hela
Aisee yaan hata pa ku_cancel sipaoni maana sikufanya process yoyoteCancel mojawapo kati ya hizo process ibaki moja ndio uikamilishe
Cheki na wataalam wa IT hapo kazini kwenuAisee yaan hata pa ku_cancel sipaoni maana sikufanya process yoyote
Poa ndugu yangu shukraniCheki na wataalam wa IT hapo kazini kwenu
why unakopa 2 Millions mkuu?Poa ndugu yangu shukrani
Nimepata tu shida ya ghaflawhy unakopa 2 Millions mkuu?
poleNimepata tu shida ya ghafla
Duuu tarehe 20?Wakuu,, Leo Kuna uhakika kweli .?
Tulia faza🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kitu kimerudi jumanne uzi unatelekezwa ila watumishi ( watumwa) mnafurahisha sana