Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wamepanda mara mbili ndani ya miezi miwili au moja ni annual increment?
Hapana,
Amepanda mara moja,
Yeye alipanda mwezi wa tano ilihali kuna wengine wanaotakiwa kupanda pia maana vigezo vinafanana ila hawakupandishwa, kwahiyo mwezi huu wa sita ndiyo na wao wamepandishwa daraja.
Kwahiyo ni watu wawili tofauti nimesemea kwa vigezo vinavyofanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…