Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Bila Shaka Kuna wengine washatumia nusu ya mshahara wote hadi sasa
 
Uzi umefungwa na kutelekezwa vibaya tukutane 20/7/2025.

Hapo watumishi( watumwa) wanalewa leo .baada ya wiki mbili wanaanza kulia njaa
Mwezi ujao uzi utaishi maisha marefu sana kwa nature ya julai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…