Kwahiyo inaweza kuwa kama bei gani hivi mkuu
Kumbuka uliweka 36m tu na bila nguvu ya ziada unapata 1B
Haya mambo yanataka namba mkuu sio hisia
Kwa mujibu wa mwana Jamiiforum mwenzetu hapa
Thamani ya shilling (TSH) DHIDI ya Dola (USD) 1966-2023
Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966 (1966-1972) 1 USD = 5 TZS, (1973-1975) 1 USD =7 TZS, 1976,,1 USD=12 TZS 1977, 1 USD =12 TZS (1978-82)-1USD-20TZS 1983- 1USD:22 TZS 1984-1 USD: 23TZS 1985- 1USD: 102 TZS 1986- 1USD: 205 TZS 1987- 1USD...www.jamiiforums.com
Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966
1995 - 1USD: 500 TZS
2023- 1USD =2487 TZS
Ndani ya miaka 28 thamani ya dola imepanda mara 5 kutoka pale ilipokuwa mwaka 1995 ambao wewe umeutaja
Maana yake 1 million mwaka 1995 kwa sasa anakua na 5m na point zake
Tukibaki kwa rate hii hii million 36m ya leo itakua kama 150m kwa miaka 30 wakati huo huo ukiweka UTT inakua 1B
Shukrani kwa majibu! Kwa mahesabu hayo inalipa kuwekeza huko.Kwahiyo inaweza kuwa kama bei gani hivi mkuu
Kumbuka uliweka 36m tu na bila nguvu ya ziada unapata 1B
Haya mambo yanataka namba mkuu sio hisia
Kwa mujibu wa mwana Jamiiforum mwenzetu hapa
Thamani ya shilling (TSH) DHIDI ya Dola (USD) 1966-2023
Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966 (1966-1972) 1 USD = 5 TZS, (1973-1975) 1 USD =7 TZS, 1976,,1 USD=12 TZS 1977, 1 USD =12 TZS (1978-82)-1USD-20TZS 1983- 1USD:22 TZS 1984-1 USD: 23TZS 1985- 1USD: 102 TZS 1986- 1USD: 205 TZS 1987- 1USD...www.jamiiforums.com
Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966
1995 - 1USD: 500 TZS
2023- 1USD =2487 TZS
Ndani ya miaka 28 thamani ya dola imepanda mara 5 kutoka pale ilipokuwa mwaka 1995 ambao wewe umeutaja
Maana yake 1 million mwaka 1995 kwa sasa anakua na 5m na point zake
Tukibaki kwa rate hii hii million 36m ya leo itakua kama 150m kwa miaka 30 wakati huo huo ukiweka UTT inakua 1B.
Kwamba?Mh...karibu mjini
HahahaMnaharibu uzi wetu nyie ,uzi huu ni maalum kwa tarehe za kuhaha kama bata kameza kaa la moto, tarehe za mfalme tembele na chinese tarehe ambazo ukiona mashine ya ATM unashikwa hasira mana salio empty,
Nyie mnaokuja na mambo sijui ya uwekezaji mnaharibu uzi wetu kafungueni wenu huu ni wa mshahara
Mkuu usifananishe utt na hizo pyramid schemesSema wasomi ndiyo watu wanaongoza kupigwa kwenye Kila scheme inayoanzishwa kuanzia deci, q net, kilimo Cha vanilla, chia seed, viwanja kigamboni etc.
Yani hivyo vyote unafananisha na UTT wewe bora uendelee kutokuwa msomiSema wasomi ndiyo watu wanaongoza kupigwa kwenye Kila scheme inayoanzishwa kuanzia deci, q net, kilimo Cha vanilla, chia seed, viwanja kigamboni etc.
AiseeeeeYani hivyo vyote unafananisha na UTT wewe bora uendelee kutokuwa msomi
Yaani!!!! UTT ni co. ya serikali hii kitu haitaki kuwaingia watu kichwani, na IPO regulated na CMSA pia ipo listed DSE.Yani hivyo vyote unafananisha na UTT wewe bora uendelee kutokuwa msomi
Unaona nini mkuuHuoooooo, naona kwa twiga......
Tunapeana mbinu za kujiandaa kustaafu mkuu, tusije ulizia salary mpaka mwezi wa mwisho kustaafu.Mnaongelea nn humu mbona siwaelewi? Topic kuu si mshahara au?
Mnazingua.. But fine jukwaa huru!Tunapeana mbinu za kujiandaa kustaafu mkuu, tusije ulizia salary mpaka mwezi wa mwisho kustaafu.
Fanya maamuzi magumu mkuu mimi namalizana na mambo madogoYaani!!!! UTT ni co. ya serikali hii kitu haitaki kuwaingia watu kichwani, na IPO regulated na CMSA pia ipo listed DSE.
Anyway mi nafikiri hii ni scheme nzuri Kwa sisi wavivu. Mimi nitakopa niwekeze huko na sintaichukua mpaka five years before I retire....
If I die Bado ni urithi Kwa watoto wangu
Watu wanalazimisha mambo...UTT humu sio mahali pakeMnaongelea nn humu mbona siwaelewi? Topic kuu si mshahara au?
Samahani naomba mirekebishe kauli. Sifananishi hizo pyramid scheme na utt kwa maana ya thamani zake na operation zake.Mkuu usifananishe utt na hizo pyramid schemes
Nakubaliana na hiyo analysis.Samahani naomba mirekebishe kauli. Sifananishi hizo pyramid scheme na utt kwa maana ya thamani zake na operation zake.
Ila zinafanana kwa jinsi zilivyochukuliwa kwa MIHEMKO NA WASOMI. Unapoona mtu amepewa elimu ya utt, then anaenda kukopa pesa ili aweke utt hapo anakuwa amepata mihemko kama hao watu wa hizo pyramid scheme.
Kazi kubwa ya utt ni mtu ambaye anataka kuitunza pesa yake ambayo hana cha kufanyia, siyo mzoefu wa biashara, anataka kuitumia hiyo pesa miaka ijayo akostaafu. Hivyo kuliko kuweka benki ambako thamani ya Ile pesa haitalindwa ni Bora apeleke utt ambako thamani ya pesa italindwa kwa miaka mingi ijayo.
Utt ni sehemu ya kuitunza thamani ya pesa siyo kuongeza pesa.
Hakuna kinachoharibika ni sehemu tunajifunza, Iko related na kushinda kusubiri mshahara. Hebu tupia laki moja kesho ukidakaWatu wanalazimisha mambo...UTT humu sio mahali pake
Na kupanda viti virefuMada za UTI sijui utt au atituri wekeni kwenye Uzi wake. Hapa ni tarehe za mishaaaaaaara