Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wazo zuri
 
Watumwa wote wako humu hela ikisoma tu wanatelekeza uzi. Fanyeni biashara mtakufa na stress pimbi nyie.
Biashara hatufanyi , hatupendi mambo ya kusadikika ..Hakuna mtu alipozaliwa aliiambiwa afanye biashara ,msitupelekeshe mawinga mna tabu sana..

Sifanyi biashara wala uwekzaji ,miaka 50 inatosha ,niwe nimeshakufa Sina mkataba wa kumtumikia kenge yoyote hapa duniani.
 
Leo ni uongo labda kama hamna nyongeza
Kwani siku 15 zote kufanya changes za mshahara hazikutosha?
Unadhani leo ndio wanalipa mshahara?
Mshahara unaingizwa wiki moja mpaka mbili kabla ya siku ya mshahara.
Na siku ya mshahara kinachofanyika ni kubofya tu.
Yawezekana leo usitoke lakini sababu isihusishwe ongezeko la mshahara. Maana hata miezi mingine tumewahi kulipwa tarehe 23, 24
 
Kwani siku 15 zote kufanya changes za mshahara hazikutosha?
Unadhani leo ndio wanalipa mshahara?
Mshahara unaingizwa wiki moja mpaka mpaka mbili kabla ya siku ya mshahara.
Na siku ya mshahara kinachofanyika ni kubofya tu
Humu kuna wakubwa ,taarifa zinafika mapema ndugu ...Hizo nyongeza kama ingekuwa tayari ,nina hakika ungejua tu ,yule jamaa wa uzi wa 90k alishtua hisia ili apate majibu .

Mshahara bado ,nakuambia .
 
THamani ya milion 500 miaka 20 iliyopita ni tofauti sana thaman ya kiasi hicho cha pesa leo hii. Jiulize pamoja na kushuka huko kwa thamani, watz wangapi wameweza ku afford ku make hiyo 500m tsh todate ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…