Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Siku Yenu pendwa mpaka sisi kina Mangi -maduka tunafurahi ,dah jamani watumishi wa umma nyie ni waaminifu sana, sitaacha kuwapa vibubu vya unga na dagaa ,sasa nampango nifuate na kuku niwe nawakopesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…