Mungu ibarik
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,395
- 11,580
Wengi wa hivi, hamnaga kaziChini ya laki 5 kwa siku mnawezaje kusurvive nyie wenzangu ?😂 mbona mi nashindwa?
Maana 4m ni kama 130k kwa siku. Hivi kwa hiyo pesa, mafuta unaweka kiasi gani? Nyumbani tuseme unafamilia, unawaachia kiasi gani? Na wewe ukitoka kwenda kwenye mizunguko, unakula kiasi gani? Na kama unafanya ujenzi walau kuna pesa ya mafundi na material kidogo, sasa hiyo pesa inatoshaje ukizingatia jioni inabidi ukae sehemu upate 2 tatu kidogo..
-Nimewahi kuwa mtumishi wa umma kama Land surveyor, niliacha kazi Nikiwa na cheo senior land surveyor, so maisha ya Utumishi wa Umma nayajuaMsipanic na Hawa watoto wajinga wanao fake kua mabilionea na wafanya biashara ,,,,hawana lolote ni majobless ,,nawajua vizuri
1. Huyu anaesema analipwa 4M hana Kaz kabisa ila amemaliza Chuo yupo Kitaa kula kulala.
2. Huyu alikua mwalimu akaona ualimi haulipi akakopa akapiga chini kajaribu biashara kaangukia pua hana hata mia mbovu.
NB nyinyi wajinga wa UTT tunaijua hiyo kitu miaka nenda Rudi,,, kama unajua kanzishe Uzi huko huu Uzi uheshimiwe.
By senior member wa Uzi huu joined January 22 2024
Wapuuze ... Wanaleta umuhimu kwenye maisha ya watu.wajuaji wengine haswa wale wasiokuwa watumishi wa umma tafadhali kuna majukwaa mengi mnaweza kushiriki huko, na sisi mkatuacha na maisha yetu magumu ya kutegemea mshahara. Kinyume na hapo ni utoto utoto mwingi na ujuaji wa hovyo mnaoneasha hapa. wewe kama unakunja milioni mia kwa mwezi kupitia biashara yako sisi haituhusu kabisa na wala hatuhitaji kujua hilo. Humu kunatuhusu watu ambao tunafanana kimasilahi hivyo basi tukihitaji kuhamasishwa juu ya uwekezaji na mambo mengine anzisha uzi tutakuja kupata madini huko. ila kwasasa hatutaki kusikia chochote zaidi ya CRDB au NMB tayari ama mama Kaongeza laki nk.
Hah hah hah hah....wewe wa kwetu kabisa.Sio mkuti ngome,au Chingumbwa au Namungo kabisa…😀
kwani umejuaje kuwa yeye sio mwanamkeVya bure kudojora
Af mm mwanaume tafuta mwanamke umnunulie mkuu
Sema tu, DALALI.-Nimewahi kuwa mtumishi wa umma kama Land surveyor, niliacha kazi Nikiwa na cheo senior land surveyor, so maisha ya Utumishi wa Umma nayajua
- Nimeamua kufungua ofisi yangu ya Upimaji ardhi na ushauri wa masauala ya Ardhi- Masaki
Wameenda kulewea mshaharaWatumishi mmepotea
Nakazia Mkuu.wajuaji wengine haswa wale wasiokuwa watumishi wa umma tafadhali kuna majukwaa mengi mnaweza kushiriki huko, na sisi mkatuacha na maisha yetu magumu ya kutegemea mshahara. Kinyume na hapo ni utoto utoto mwingi na ujuaji wa hovyo mnaoneasha hapa. wewe kama unakunja milioni mia kwa mwezi kupitia biashara yako sisi haituhusu kabisa na wala hatuhitaji kujua hilo. Humu kunatuhusu watu ambao tunafanana kimasilahi hivyo basi tukihitaji kuhamasishwa juu ya uwekezaji na mambo mengine anzisha uzi tutakuja kupata madini huko. ila kwasasa hatutaki kusikia chochote zaidi ya CRDB au NMB tayari ama mama Kaongeza laki nk.
Tupo mkuu...wengine bado bila bilaWatumishi mmepotea
😅😅😅Wengi wa hivi, hamnaga kazi
Hivi bank gani ndo Huwa wanawahi kupokeaTupo mkuu...wengine bado bila bila
Mshahara unapitia mkono wakulia unatokea kushotoWameenda kulewea mshahara
Bila shaka wewe ulikuwa na Basic ya 915,000/=Naona makato ya HESLB yameongezeka kwa 13,500 kwangu. Kama hiyo ni asilimia 15 ya ongezeko bas nimeongezewa 90,000/= kwenye basic
Hii sio constant, kati ya NMB na CRDB....kikubwa wote tunapokeaHivi bank gani ndo Huwa wanawahi kupokea
Mim sijui wamenichinjia baharini...naona heslb ni ile ileBila shaka wewe ulikuwa na Basic ya 915,000/=
Baada ya nyongeza sasa una 1,005,000/=
Hongera sana mkuu🤣🤣
Sio mwanamke ana onekana tu labda ana pretand to bekwani umejuaje kuwa yeye sio mwanamke
Labda una basic salary kubwa.. example due to your salary umeongezewa 0.7% huwezi kuona tofauti hapo😆Mim sijui wamenichinjia baharini...naona heslb ni ile ile