Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Sipo Mbeya ila nashinda mbeya sababu ya mimi ni importer wa bidhaa kupitia boda la Tunduma.
Na kuhusu kuhama, Nimeghairi kuhama
Biashara zangu zimekuwa sanaa mpaka nimebadilisha mfumo wa uendeshaji kuwa kampuni.
Kwahiyo acha nikomae na side hustle zangu, Kuhama nimekupotezea.
Kuhama na kusoma PhD kotee nimekupiga chini nakomaa na business.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unampangia?
Hazina wanatugombanisha na mabenki...sasa wamekata hela ipi
Sasa ESS wameweka makato, maana yake hazina wametoa hela au inakuajeUna manisha nini mkuu?
Sasa ESS wameweka makato, maana yake hazina wametoa hela au inakuaje
Ess umecheki slip? Mimi slip ya mwezi huu haipoSasa ESS wameweka makato, maana yake hazina wametoa hela au inakuaje
- Kuna uzi ulisema mwenyewe au ulikuwa unafurahisha genge!?Nani kakwambia nafanya magendo??
Nina kampuni ambayo ni full regiestered tunalipa VAT na Tuna import with TRA stickers.
Nina wafanyakazi 8 ila lengo ni kufika 12 ifikapo december/2025.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nilizaliwa na wazazi wafanyabiashara ila kwa mapenzi ya Mungu aliwachukua mapema bila ya kurithi ujuzi wowotee.Umefanya uamuzi sahihi mshahara haujawahi kutosha uwe halmashauri au taasisi. Karibu kwenye ulimwengu wa biashara huku ndiko pesa inapoanzia
daah humu ndaniAnakuona kama freemason vile,Kwa sababu unalipwa mara3 yake
Malalamiko yamesikikaMimi makato yaliongezeka mwezi may, kutoka salary slip nikakuta wamenipandisha tu level 3.
Mwezi june nikaona tena makato yameongezeka, kupata salary slip nakuta tena wamenipandisha daraja.
Humu kwenye nyuzi kuna mdau akataja kwamba kaona mabadiliko ESS nikasema na mimi niende, kwenda nakuta makato ya bodi yameongezeka..!!!
Ina maana kuna nyongeza nyengine kwa miezi mara ya tatu tena au?
Maana nilitegemea deni la bodi libaki mil kadhaa na laki 2 na point ila nakuta ni mili kadhaa zilezile ila ni na laki 1 na point..!!!
Kuna nini utumishi huko au yale malalamiko yangu ya msereleko YAMEJIBU??
#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Halafu huu mtindo wangeubadilisha HELA ijae kwenye akaunti kabla makato kuonekana kwenye ESSSasa ESS wameweka makato, maana yake hazina wametoa hela au inakuaje
Ess umecheki slip? Mimi slip ya mwezi huu haipo
Hapana mkuu, lazima na wewe umeongezewa sema wewe unakosea.Mim sijui wamenichinjia baharini...naona heslb ni ile ile
Cheki kwenye makato ya loan kama una mkopo wowote...Hat sijamwelewa ndugu huyo
Unadhani kampuni yenye kulipa VAT inayomiliki wafanyakazi 8 itakuwa na wealth ya kiasi gani??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nina mkopo nikicheki slip ya June naona wamepita na chaoCheki kwenye makato ya loan kama una mkopo wowote...
#YNWA
#YANGA_BINGWA
UsaniiTazama imeandikwa tushukuru kwa kila jambo basi mimi Alhamdulilaah nashukuru mshahara umeisha salama uliingia majira ya saa 7 hivi na kufikia muda huu nawaza pa kukopa tena🥲🥲
Mwana nimeelewa, nimejiongeza ikaeleweka..Acha tucheke
Pakujua kama unaongezeko ni loan board sio mkopo wa bank.Nina mkopo nikicheki slip ya June naona wamepita na chao
Loan board nilimaliza kitambo.Pakujua kama unaongezeko ni loan board sio mkopo wa bank.
#YNWA
#YANGA_BINGWA