Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Tazama imeandikwa tushukuru kwa kila jambo basi mimi Alhamdulilaah nashukuru mshahara umeisha salama uliingia majira ya saa 7 hivi na kufikia muda huu nawaza pa kukopa tena🥲🥲
Nyie mbona mnawahi sanaa.

Sema mshahara wa mwezi huu ni kugongea tu maana wiki ijayo nanenane hivyo posho ya kuhudhuria nanenane inaingia mpyaaaaa tena ni nene kuliko mshaharaa..!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Nimepiga nimepata nimepata nyongeza ya 90k hv total....nashukuru
 
Anaejua ukitaka kufanya calculation ya top up unafanyJE KWENYE ESS.MFANO ULIKOPA 2M UMELIPA SEVEN MONTH UNATAKA UTOP UP,
WENYE KIJUA TUPIGANE TAFU
Mkuu wangu nakusihi sana usifanye Top up, kama unahitaji pesa bora ukope Bank ingine kwa hilo ongezeko la mshahara. Top up itakufilisi vibaya sana.
Samahani kama nitakua nimeingilia uhuru wako
 
kuna dgo alikuwa anakatwa 114k now makato ya bodi ni 132k
 
Mkuu wangu nakusihi sana usifanye Top up, kama unahitaji pesa bora ukope Bank ingine kwa hilo ongezeko la mshahara. Top up itakufilisi vibaya sana.
Samahani kama nitakua nimeingilia uhuru wako
Ntapata kidoga sana😳😳😳 kwani hia jesabu za top up hia wanafanyaje
UMELIPA 5000 ukalipa 3000 ikabaki 2000 ukichukua tena 5000 mfano wanakata kwanza 2000 yao,then bima ya mkopo na processing fees ndo update chako? Au ikoje😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…