Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Ess inaeleza kila kitu kabla ya kuamua nini cha kufanya
 
Hii ni nzuri kama tayari una miaka 60 years plus,huwezi kuwa na miaka 35 halafu ukafanya investment ya hivi utakuwa kichwani ni kamasi.
Ukichukua 50M leo hata ukisema ulangue mahindi kutoka Songea ukayauze mwanza ukiwa na ndani ya miaka 5 utakuwa na 150M.
 
😳😳😑 Huu ni usengerema Sasa 2 hadi 10
 
Mi sijui naumalizaje huu maana parefu kinoma.
Kuna jamaa yupo kwenye hizo code za tgts, salary slip inasoma 47M, na inabaki 1ya3 bado nayo ipo maisha damu..

Sasa nimejuuliza, hivi hii hela atakuja maliza kweli awe huru?
Mimi la helsb imebaki kama milion 5, kuna mishe napiga mahali, nataka nitoe hela yao nimalizane
 
Atamaliza tu maana unakuta makato ni makubwa
 
Tazama imeandikwa tushukuru kwa kila jambo basi mimi Alhamdulilaah nashukuru mshahara umeisha salama uliingia majira ya saa 7 hivi na kufikia muda huu nawaza pa kukopa tenaπŸ₯²πŸ₯²
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Huu Uzi raha sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…