Hela inaingia kwa mafungu mafunguAloo bilabila
jomba una amani sana maana unaonekana ni mtu wa HAMSINI ZAKO tu.πUsitoe maamuzi ukiwa na furaha mkuu.
Hahahaha stress za mtaani zinatosha mkuu..jomba una amani sana maana unaonekana ni mtu wa HAMSINI ZAKO tu.π
I can confirm. Mzigo ndani.Thanks.
Imetiki crdb.
Loh crdb mi badoI can confirm. Mzigo ndani.
Tayari kaka, CRDBMpaka jioni mambo yatakuwa safi
Baadhi wamechelesha aseeLoh crdb mi bado
Haina haja ya complications πππHahahaha stress za mtaani zinatosha mkuu..
Kwa hiyo ni muda muafaka wa kuaga?I can confirm. Mzigo ndani.
4Hivi wakuu ,kupanda madaraja huwa ni miaka mingapi ukijumlisha na ule mwaka wa probation???, ma-HR na wengineo naombeni mwelekezo
na kazi anaachaKwahiyo mtu akope mshahara wote, abaki na SIFURIπππ
Hii ni habari njema mkuuTayari kaka, CRDB
Mpka serikali kulazimisha 1/3 hali ilikuwa imeshakuwa mbaya.na kazi anaacha
Miaka minne.Hivi wakuu ,kupanda madaraja huwa ni miaka mingapi ukijumlisha na ule mwaka wa probation???, ma-HR na wengineo naombeni mwelekezo