Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

MKUU kwa Take home ya 439k utajenga lini!??

Upo Mwanza ambapo maeneo hadi ya Pembezoni bila 2M hupati kiwanja hizo Pesa mingi kwa awamu moja unaipataje!? Na.mtaji
una take home kubwa sana kiongozi. muwaache watumish wenyewe wesharidhika na maisha yao.
 
MKUU kwa Take home ya 439k utajenga lini!??

Upo Mwanza ambapo maeneo hadi ya Pembezoni bila 2M hupati kiwanja hizo Pesa mingi kwa awamu moja unaipataje!? Na.mtaji
. Take home ya 439k ni nyingi sana, labda tu bado hujapewa elimu ya fedha, ndo maana unaziona chache. ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.

. Mimi kwenda kukopa bank labda waniloge,
 
. Mimi kwenda kukopa bank labda wanilog

. Take home ya 439k ni nyingi sana, labda tu bado hujapewa elimu ya fedha, ndo maana unaziona chache. ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.

. Mimi kwenda kukopa bank labda waniloge,
Ila acheni kutufanya sie ngumbaru sana yaan 439k inahitajika Elimu ipi!? Mkuu
 
Mimi mwenyewe nataka nikope, nipate nauli ya kuruka kwenda Marekani, kupiga picha mbele ya ikulu ya Marekani. Unalipi la maana la kunishauri ambalo wewe binafsi limekusaidia ?
 
Elimu inahitajika tena sana mkuu.

Kwa mfano wakati mimi naaza kuajiriwa, niliweka mikakati madhubuti kabisa. Hii ilinisaidia sana mpaka Sasa iliniepusha kikombe cha kwenda kukopa bank.

Soon nitaleta thread hapa kuhusu elimu ya fedha kwa wenye vipato vidogo. ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
Mimi mwenyewe nataka nikope, nipate nauli ya kuruka kwenda Marekani, kupiga picha mbele ya ikulu ya Marekani. Unalipi la maana la kunishauri ambalo wewe binafsi limekusaidia ?
If you see the same tree twice in the forest,you are lost. ๐Ÿฅด๐Ÿฅด
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ