Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Ila acheni kutufanya sie ngumbaru sana yaan 439k inahitajika Elimu ipi!? Mkuu
Umeona een! Kuna watu wanatumia nauli ya zaidi ya 5000 kwa siku kwenda kazini. Hapo bado Kodi ya nyumba. Bado na wale wanaonja kinywaji kidogo. Ukitoa hivyo tu kabla ya msosi nyumbani na watoto wanaosoma, unabakiwa na deni kiasi gani?
 
Kipato kidogo kina range kuanzia ngapi hadi ngapi ?
 
Punguza ujuaji mkuu, yaani 400K uibane hadi ujenge? Labda uwe unaishi sayari ya Mars. Hiyo elimu tunaijua sana, tatizo kwa hiyo pesa hesabu hazikubali kabisa.
 
Umeona een! Kuna watu wanatumia nauli ya zaidi ya 5000 kwa siku kwenda kazini. Hapo bado Kodi ya nyumba. Bado na wale wanaonja kinywaji kidogo. Ukitoa hivyo tu kabla ya msosi nyumbani na watoto wanaosoma, unabakiwa na deni kiasi gani?
Kwanini ukae mbali na eneo la kazi? Tena ukute umepanga? Yan hadi vya kupanga unaenda kujificha mbali hivyo
 
Punguza ujuaji mkuu, yaani 400K uibane hadi ujenge? Labda uwe unaishi sayari ya Mars. Hiyo elimu tunaijua sana, tatizo kwa hiyo pesa hesabu hazikubali kabisa.
Wewe unahitaji elimu ya fedha pia 😋😋, ni wazi kabisa hujui namna ya kuzalisha fedha.

Kiazio cha laki nne unajenga bila shida kabisa..
 
KAMANDA NAOMBA IWE LEO NA UNITAG LEO SI WEEKEND TUKI FREE

nimeandika Herufi kubwa kwa msisitizo maana keo hapa nilipo imebidi nisearch kila suluali niliyovaa weiko hii nimepata kitita cha Pesa taslimu 650/= tu
 
😅 😅 😅. Sawa mkuu, haina shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…