Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Sasa kwa haraka haraka ela akatoe wapi.....mtu anataka gari ya ml 30 ukitaka ukitaka asave ela mpaka ifike ml 30 unafkiri ingechukua miaka mingap kusave ...pia kumbuka Kuna Time value of money je unafaham hii concept...kama huijui basi tulia waache wakope
 
MKUU kwa Take home ya 439k utajenga lini!??


Upo Mwanza ambapo maeneo hadi ya Pembezoni bila 2M hupati kiwanja hizo Pesa mingi kwa awamu moja unaipataje!? Na.mtaji
Good question watu wengi hua wanasema iv kwa kufata mkumbo bila kujua deep importance ya kukopa now badala ya kusave for years
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…