Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Hili jeusi nimelipenda sana, inauzwa bei gani?, niende nikakope benkiMimi madungu yangu nina yapenda ni haya mkuu, Sasa nikununua kwa kukopa, hela ya mafuta nitaitoa wapi mkuu. Watumishi tuwekeze, mikopo ni Mateso sana.. π π
View attachment 3448482
View attachment 3448489
Million 220,000,000 mkuu. π π πHili jeusi nimelipenda sana, inauzwa bei gani?, niende nikakope benki
Sidanganyi nasema ukweliNawe umeanza uongo dogo
πππ ngoja nikatafute jimbo niwanie uongoziMillion 220,000,000 mkuu. π π π
HRs π«΅Nasikia kuna changes kwenye mshahara π³π³
HRsChanges zipi tena? Na si zingeonekana kwenye mfumo
Kwamba mishahara imepunguzwa au imeongezeka?Nasikia kuna changes kwenye mshahara π³π³
Pole sana Mkuu
Umeghairi kwenda bank mkuu?? π₯΄π₯΄πππ ngoja nikatafute jimbo niwanie uongozi
Sina sifa za kukopa hicho kiasi, bora nianze mdogo mdogo kutafuta jimbo ππUmeghairi kwenda bank mkuu?? π₯΄π₯΄
Yap! Keli makato yamefanyika! Mzigo muda wowoteUpdates Makato yamekatwa muda huu muda wote wote kuanzia sasa hivi mzigo unaingiaaaaa hayazidi masaaa 24
Try!Bodi ya mikopo isha chukua chao mnao daiwa?
Pasha kidogo kidogo mkuu, usiweke moto mwingi π π
Nimesikitika sana, lakini jaribu jimbo la kilwa lipo wazi mkuu, bado halijapata mombea.Sina sifa za kukopa hicho kiasi, bora nianze mdogo mdogo kutafuta jimbo ππ
Ufafanuzi mkuu
Uhakika β leoTry!