Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wale ambao hawajajaza task and subtask mpk sasa kuna hati hati ya kupokea mshahara taarifa kutoka wizaran nawapenyezea labda wawe wamebadilisha
mi sijajaza ila kasalary ndo nakamalizia hapa, hivyo vitisho vya hovyo sijui vinawahusu watumishi gani au lengo lake nini,
maana kila mwezi mnaletaga hizo mbanga afu hakuna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…