Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,473
- 3,542
ungekutanisha mishahara usingekuwa hapa tangu ijumaa, na kama kweli umekutanisha basi ni wangama kiasi kwamba wangechelewa kidogo tu ungekomba akaunti nzima usijelala njaaKukutanisha mishahara ni raha😄😄
Zinajaa tu
e Nilichelewa kujibu mkuu, NMB, Nilipoona sms nikachukua kadi na pikipiki nikakimbia kwenda kuchukia, nimefika ATM zinazingua ila namshukuru baada ya kusubiri zaidi ya nusu saa zilikaa sawa.Bank gan
poa poa mkuu...., mi bado nasubir, wa mwezi July waliniwekea saa kumi jionPol
e Nilichelewa kujibu mkuu, NMB, Nilipoona sms nikachukua kadi na pikipiki nikakimbia kwenda kuchukia, nimefika ATM zinazingua ila namshukuru baada ya kusubiri zaidi ya nusu saa zilikaa sawa.
Mpaka sasa 15:07 bado bila bila kwangu mpaka nimeanza kupata wenge.poa poa mkuu...., mi bado nasubir, wa mwezi July waliniwekea saa kumi jion
Usihofu, bado tupo hatujapata pia NMB , sijui mifumo imekwama wapiMpaka sasa 15:07 bado bila bila kwangu mpaka nimeanza kupata wenge.
Wahenga tunasema mvumilivu hula mbivu.poa poa mkuu...., mi bado nasubir, wa mwezi July waliniwekea saa kumi jion
Acha kumtapeli muajiri wako acha kazi ili uwe bize na mambo yako😅😅Mimi sijafanikiwa,
Ila nazidi kupunguza gape hilo, last month nimekula 37000 hapo,
Nataka niweke Bize zaidi na mishe za ziada
Achana na habari za nasikia nasikiaNasikia kuna nyongeza
We kama unapata shukurubmungu watu wako sekta na idara na ma wizara tofauti sio wote n walimu humu na hata ma HR wanatofautiana hata scale pia zinatofautina wengine wana TGS wengine wana mambo yao huko so mtu akikwambia ivo tulia sio unabisha tu kama wafanyakazi wote wa serikali wako tamisemimi sijajaza ila kasalary ndo nakamalizia hapa, hivyo vitisho vya hovyo sijui vinawahusu watumishi gani au lengo lake nini,
maana kila mwezi mnaletaga hizo mbanga afu hakuna lolote
Kuna watu bado inasoma mwigulu 0-0 mtumishiNimevunga sana wanangu ngoja niwasalimie hahaha
HahaahaahaNimevunga sana wanangu ngoja niwasalimie hahaha
Mbona tutakufa njaa sasa.Ambao bado hatujaona moshi mweupe tuendelee na maombi tu, sahivi zoezi limetulia tuliii, mpaka Jumatatu tena[emoji22]
Mwezi huu ni kama mafungu yameongezeka hivi, ambao bado naamini soonAmbao bado hatujaona moshi mweupe tuendelee na maombi tu, sahivi zoezi limetulia tuliii, mpaka Jumatatu tena😢
Sahivi ni kama wamestackMwezi huu ni kama mafungu yameongezeka hivi, ambao bado naamini soon
Kwa bado kuna watu bado hawajapata mpk sasaSahivi ni kama wamestack
Wapo wengi tuKwa bado kuna watu bado hawajapata mpk sasa
Acha kabisa, ni huzuniKwa bado kuna watu bado hawajapata mpk sasa
Nipo na mimi sijaona kitu kabisaKwa bado kuna watu bado hawajapata mpk sasa