Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mimi nilikua masomoni, na tuliambiwa ukiwa masomoni hujazi. Sikujaza. Ajabu nilikosa increment mwaka Jana kisa sijajaza pepmis. Hawako very clear. Nilikosa laki nzima kwenye ongezeko la mshahara.
 
Hapana, ukiwa masomoni hakuna kujaza pepmis, pepmis ni majukumu unayotekeleza kila siku eneo lako la kazi. Ukiwa masomoni pengine utajaza vipindi ulivyohudhuria class.
Unawadanganya wenzio.

Ukiwa masomoni kwa muda mrefu unajaza hivohivo kwamba uko masomoni, kisha unaweka 100% unasubmit kwa supervisor wako.

Ukiacha empty, system inakusoma haupo popote, na hautapata stahiki zako kama kupanda daraja, annual increments nk.
 
1. We ndo unadanganya, ukiwa masomoni hautajaza tasks/subtask


Mpatuka yupo sahihi kabisa.
 
Ndugu Mteja
Umepokea kiasi cha TZS 46,026,380.00 katika akaunti yako nambari: 01522*****20
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0714197700
 
Ukishaenda masomoni huwezi kupanda daraja. Unapanda daraja ukiwa kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…