Annual.increment inaangalia uliajiriwa mwezi wa Ngapi kama ni wa 5 badi wa 6 ndio unaipata baada ya kufunga Mwaka hazipo UNIFORMHalafu hizi annual increment wengine wanapata na wengine tunapita wima wima sijui tatizo ni nini?
Mkuu, unapiga Masters au PhDMm nipo masomoni ila nahaza, hiyo usipo jaza kwakua uko masomoni sio mbaya utaona kama ina kufavour ila ikifika muda wa kupanda cheo utaimba hallelujah, nakushauri kama unaweza jaza utanishukuru baadae
Unaweza ukatufafanulia vizuri utofauti wake hii..?Kwanza hapo ulipo mnatumia "Calendar Year" au "Financial Year"?
Labda tuanzie hapo, huenda tuko dunia 2 tofauti.
Mkuu umefunga pmKwakweli bado sijafahamu, nilimuuliza mmoja akaleta mambo mengi haikuwa straight ila nimewasiliana na HR ameniambia nisubiri mwezi huu.
Masters mzeeMkuu, unapiga Masters au PhD
Nimefungua kakaMkuu umefunga pm
Mkuu Mwakawabaraka nitilie kidogo nami niokote Hali sio haliLEte lipa namba, nikutilie kidogo
🤣 sali sana mwez ujao wasikufikishe tar 30. Maana sikuiz mishahara haieleweki.Bila shaka makombo ya ccm yameisha
Dah countdown ishaanzaaaBado siku 12
Subiri jumanne 23.09.2025Vipi huko wadau.. Badoo...?
Wahasibu wengi wanasema mfumo wa muse unasumbuaTetesi za mfumo wa muse CRDB kutofanya kazi. Hope hautaathiri mpunga maana tarehe ndio hizi za jogoo kuwika chamwino
Pole sanatoka mwaka uanze huu ndio mwezi nimechapika sijawahi kuona yani naona jumatatu ni mbali eeh Mungu nisaidie mimi🙆🏾♀️