Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,518
- 3,041
Hatukuwalazimisha wafanye tarehe 23. Ni utaratibu waliotupangia. Kama wameshindwa basi watupe taarifa.
Hata wangesema ni tarehe 29 sisi hatuna maneno ila at the end of every 30 days watimize wajibu wao.
Ndio tayariTayari ,Kwani??
Mkuu umepata peke yako tu..mbona sioni wengine wakitoa ushuhudaNdio tayari
Labda wapo ndani ya nchiMkuu umepata peke yako tu..mbona sioni wengine wakitoa ushuhuda
Bado bwanaNdio tayari
Me benki yangu CRDB na haya wanayopitia dah si wanaweza nilaza njaa hawaMbona NMB bado π₯Ή
Tajiri dalali uliyekomaa na uzi wa mishahara kila mwezi usiokuhusu.Mtavuta mpak bangi π€£π€£π€£ mkiambiwa muanzishe biashara kama side haso hamtaki kuleni chuma hicho
Nasikia wao ndiyo chanzo cha haya yote, SEMA serikali imeamua kuvaa aibu πππMe benki yangu CRDB na haya wanayopitia dah si wanaweza nilaza njaa hawa
Tajiri biashara fanya wewe sisi acha tuendelee kuwa watumishi
Land consultantTajiri dalali uliyekimaa nanuzi wa mishahara kila mwezi usiokuhusu.
DalaliLand consultant
Noma sana juzi kati waliniwekea laki Tisa sijui za nini, hii benki imekua jau sana....hizo hela mpaka muda huu Kuna laki tano tu kwenye accountMe benki yangu CRDB na haya wanayopitia dah si wanaweza nilaza njaa hawa
Wenyewe wamelima madeni yao juzi...hapa sijui wakumlaumu naniMwigulu yuko jimboni (kuomba kura, sijui anashindana na nani)
Huku wizarani hakuna msimamizi, kila mtu yuko ana chati.
Benki gani
NBC mzeeBenki gani hiyo mzee