Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Nmb Tayari. Ila mwezi huu pia wanaweka kima group. Kwangu baadhi yetu walipata around saa 11 join, mm around saa 2: 30 usiku huu. So ambao bado, Lata khofu. Uko njiani. Tukutane mwezi ujao Kwa ajili ya wafanyabiashara kututukana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…