Nimekupata mkuu Asante sana ... Maana yupo kimya itabidi zikifika tarehe hizo tumuulize.HR wako anataarifa zote maana yy ndio anawaingiza kwenye payroll...majina yasiporudi lazima awape reason, kama ni vyeti au vp...ikifika trh 16-20 muulize maana payroll inakuwa imetoka
Na hapo kwenye huo mkopo unakuta anaenda kuchukua ist used ili aonyeshe watu kuwa anazo.Mkopo below 30m kwa miaka 10...sasa 30m ndio ufanye kila kitu kwa miaka 10 maana miaka kumi baadae ni kustaafu tu
Hata sio lazimakwan Lazima Ukope
Kwa mwanamke alieolewa sio lazima....kwa mwanaume utakopa tuHata sio lazima
Karibu kwenye bwawa la utumishi.
Serikali ya wapi hiyoSerikali imeanza kulipa tarehe 32
Napo si ndio mpaka uolewe na kama umetokea zile familia umesomeshwa na ukoo mzima ulikusomesha lazima uongeze deduction kwenye salary slip.Kwa mwanamke alieolewa sio lazima....kwa mwanaume utakopa tu
Au sioHata sio lazima
Karibu kwenye bwawa la utumishi.
Sawa afisa utumishiHata sio lazima
Karibu kwenye bwawa la utumishi.
Nimetumia miezi miwili mkuu. Ila kwa halmashauri ni wiki tatu tu unakuwa ushapata mshahara.Mkuu hivi toka upate placement, kuanza kazi then kupokea huo mshahara. Ulitumia muda gani?
Ndio.. pale unapoona mshahara ujue check tayari ipo.Ok mkuu. Naomba unipatie darasa lingine tena. Hivi unapoanza kupokea mshahara wa kwanza huwa na check number inakuwa tayari imeshaandaliwa?
UTapataje mshahara bila kuwa na check numbef, Kwanza Check number hutoka mapema ndio unafata mshahara na njia nyepesi ya kujua tayari upo kwenye Payroll ni wewe kupatiwa check numberOk mkuu. Naomba unipatie darasa lingine tena. Hivi unapoanza kupokea mshahara wa kwanza huwa na check number inakuwa tayari imeshaandaliwa?
Chomoa afu kapige kitimoto na Bia Mkuu wanguCRDB kama wamedata mwezi wa pili mfululizo wananiwekea laki Tisa na kitu sijui za nini!
Mwezi uliopita nilichukua. Lakini ni account ya mshahara itaniletea majanga huko mbeleChomoa afu kapige kitimoto na Bia Mkuu wangu
Juma tano/alhamis chap tuTarehe za uzi kufufuka zimewadia
Eeeh ndio week yenyewe hii...Juma tano/alhamis chap tu
Mwezi uliopita nilichukua. Lakini ni account ya mshahara itaniletea majanga huko mbele