Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Inatoka serikalini maana inaandikwa MUSE payment no.... Lakini ni the same amount mwezi wa pili mfululizo na haisemi ni malipo ya nini zaidi ya kusema MUSE payment....Pesa yote inayotumwa kwenye akaunti lazima kwenye bank statement ioneshe imetumwa na nani.. lazima utakua umejua alietuma ama anaetuma
Pengine unalipwa madeni yako uliyokuwa unadai....Inatoka serikalini maana inaandikwa MUSE payment no.... Lakini ni the same amount mwezi wa pili mfululizo na haisemi ni malipo ya nini zaidi ya kusema MUSE payment....
Ngoja niishie hapo
Hayo ni malipo halali ila hujaambiwa ni ya nini.Inatoka serikalini maana inaandikwa MUSE payment no.... Lakini ni the same amount mwezi wa pili mfululizo na haisemi ni malipo ya nini zaidi ya kusema MUSE payment....
Ngoja niishie hapo
Labda niulizie maana sikumbuki kudai chochote na laki tisa na kitu ni parefu kwangu nishazoea salary kwa salary!Hayo ni malipo halali ila hujaambiwa ni ya nini.
Mimi nilipohama kutoka Halmashauri kuja Taasisi malipo yalikuwa yanaingia nikawa nawauliza wadau wananipa majibu.
Halmashauri nilikuwa nalipwa mshahara tu ila nilipohamia kuna:
●House Allowance kila mwezi
●Transport Allowance kila mwezi
●Overtime Allowance kila mwezi
●Communication Allowance kila mwezi
●Seniority Allowance kila mwezi
Pesa hizi nikiwa mgeni nilikuwa sielewi ila baadae nikapata elimu.
Upo vizuri Afisa, hamna nafasi za kuhamia huko na sie tukimbie TGSHayo ni malipo halali ila hujaambiwa ni ya nini.
Mimi nilipohama kutoka Halmashauri kuja Taasisi malipo yalikuwa yanaingia nikawa nawauliza wadau wananipa majibu.
Halmashauri nilikuwa nalipwa mshahara tu ila nilipohamia kuna:
●House Allowance kila mwezi
●Transport Allowance kila mwezi
●Overtime Allowance kila mwezi
●Communication Allowance kila mwezi
●Seniority Allowance kila mwezi
Pesa hizi nikiwa mgeni nilikuwa sielewi ila baadae nikapata elimu.
Hizo posho hazifiki hata 1mHayo ni malipo halali ila hujaambiwa ni ya nini.
Mimi nilipohama kutoka Halmashauri kuja Taasisi malipo yalikuwa yanaingia nikawa nawauliza wadau wananipa majibu.
Halmashauri nilikuwa nalipwa mshahara tu ila nilipohamia kuna:
●House Allowance kila mwezi
●Transport Allowance kila mwezi
●Overtime Allowance kila mwezi
●Communication Allowance kila mwezi
●Seniority Allowance kila mwezi
Pesa hizi nikiwa mgeni nilikuwa sielewi ila baadae nikapata elimu.
Watu wanahamia ila sijawahi kuona tangazo la kazi wala kuhamia, tafuta connection kwa wakubwa.Upo vizuri Afisa, hamna nafasi za kuhamia huko na sie tukimbie TGS
Umejuaje?Hizo posho hazifiki hata 1m
Btw kuna mashirika yanalipa house🏠 900,000/-, extra duty 1.5m
Waliokutuma utuue waambie Tarehe 29 sio mbali🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂🙌Waliokutuma utuue waambie Tarehe 29 sio mbali🤣🤣
Benki gani?Mwezi huu mapemaaa
Nimeona wamekata makato yao jana usiku, ndio nikasema itakuwa mapemaBenki gani?
Wapi huko mkuuHizo posho hazifiki hata 1m
Btw kuna mashirika yanalipa house🏠 900,000/-, extra duty 1.5m
Siku hazitembei aiseeWiki yetu wiki yetu imefikaaaaa!!!
Yeah umeongea. Ngoja turidhike na hizi 6 digits.Umejuaje?
Kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake.
Kama ni hivyo kesho uhakikaNimeona wamekata makato yao jana usiku, ndio nikasema itakuwa mapema