Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Leo ilipaswa niagize Kitimoto nusu na Kaugali hivi nivute na safari zangu saba shida kaja Wifi yenu na ni swala tano
Zuga unaenda kuangalia mpira. Hawajui kitu kuhusu mpira.
 
Kwa kunyimwa huku mikopo na mabeberu,tutegemee kuanza kulipwa tarehe 40.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…