Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wewe ni mtumishi uwenda ni mwalimu
Neno
******* limekaa nchani mwa ulimi
Kwa nini usishambulie hoja unashambulia mtu
Kwani matusi ndo silaha yenu humu dhidi ya hoja
Kama ni baba au mama wa mtoto
Ona aibu
 
Ges kubwa mtu atumie mwezi hapana mkaa upo gesi ni kwaajili ya vitu vidogo vidigo tu lakni sio kupikia ges kila kitu sina utajir uho
Mkaa, unaharibu vifua vya wapishi, Acha kutarisha afya za wapishi tafadhali .. 😁😁
 
Inategemea na Taasisi unayoenda mkuu, Ila kama huko Tamisemi utapeli ni mwingi sana. Usipokuwa nunda hata hela ya kujikimu unaweza usipewe πŸ˜€πŸ˜€.
Bas nimeisha maana ni ualimu japo nilikua nafatilia asal ya nyuki wadogo wadogo taasisi ya chakula na lishe TFNC
 
Bas nimeisha maana ni ualimu japo nilikua nafatilia asal ya nyuki wadogo wadogo taasisi ya chakula na lishe TFNC
Utapewa mkuu, ondoa shaka, Nenda karipoti, then waambie kuwa huna hela ya kutumia, watakuambia uludi home mpaka February 22 - 23 salary ikiingia ndo utaaza kazi rasmi.

Kwa hiyo kazi rasmi utaaza march 1st , 2026.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…